Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Unataka kuandikaje labla ππAiseeh!!
Kwahiyo niache?[emoji3][emoji3][emoji3] wewe ndio umeharibu alafu wewe huyo huyo unatengeneza
Hehee![emoji23][emoji23][emoji23] haha, huku na huko Kumbe Bae wangu yeye ndio anataka kuchulkuliwaaa[emoji2088]
Hehehe!Nishukuru mimi best ilibaki kiduchu achukuliwe mpinzani wako unae nikutajie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]Inlaw mwenyewe anajiweka sokoni utadhani msimu wa karoti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh huu uzi unakimbia aisee,, yaani huwa natamani nipitie comment moja moja humu ila kila nikitoka nikirudi nakuta comments 200+ duuh..
[emoji44][emoji44]Jizazi, binti wa watu nani kamuharibu...?[emoji2296]
Mpendwa alisifia siku moja ila anne wetu uwiiii kila siku mguu hivi mguu vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo jimbo langu ndio linapigwa mnada kama hivyo?
Mimi huyu umenifanisha mpendwa πππHehehe!
Kama sio wewe uliyekuwa unamsifia babe wa wenyewe
Jioni ya kujitetea
Kichwa bila mabega[emoji125][emoji125][emoji125]Jioni ya kichwa tu
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Akishakutana Numbisa na Carba humu basi tunapata tabu ata sisi
[emoji23][emoji23][emoji23] chama cha utoaji baraka( CCUB) jamani kwa kazi yake nini?
Uzi huu haujawahi kumuacha mtu salama...
Mlokole kindakindaki, mfukuza mapepo, mfufua wafu, mponyaji....leo hii utafikiri siyo yeye kha !!!
Shetani ashindweeee. We need our saint back [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
Na wewe unataka kuweka yote?
Utaniua..hiyo kazi muachie ustaadh aifanye taratibu[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app