Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Naona umeamua kunisingizia mchana kweupe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Namba 8 ya Anne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachaaa!!
#badonasikitika
Kwani kuna neno nimesema mpendwa?[emoji849][emoji849]Nachangamsha uzi wa like [emoji41]
Hivi Ni huyu aliyesema alikosea miaka yake,akawa amesaidiwa na mke wake na wakagundua kumbe alikuwa amejizidishia miaka?
Aaah mtoto wa baloziii,[emoji2088]Hahah! Haraka zako tu ndio tatizo
Hapana mpendwa 😍😍Kwani kuna neno nimesema mpendwa?[emoji849][emoji849]
Mh!Waaume hii ni kweli..?View attachment 1388203
Kama huvai nguo ya ndani ndio yanatokea haya, mara nyingi watoto ndio wanabanwa sana
mwaka 1980 nilivaa jeans imeandikwa ASIA basi nikabanwa na zipu....
mama weeee kitendo hicho kilipelekea tumtafute daktari wa kutahiri wanaume...
baadhi ya nyakati shida huleta solution
Kwamba anakusingizia mzee wa tender lips[emoji3][emoji3]Hahah! Huyo alkuwa anachangamsha uzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwaka 1980 nilivaa jeans imeandikwa ASIA basi nikabanwa na zipu....
mama weeee kitendo hicho kilipelekea tumtafute daktari wa kutahiri wanaume...
baadhi ya nyakati shida huleta solution
Kanusha na picha[emoji16][emoji16]Naona umeamua kunisingizia mchana kweupe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaongea kwenye simu? Unapiga simu anapokea kimakosa unasikia kabisa anapelekewa moto na hakuna kitu utafanya [emoji16][emoji16][emoji16]
Na mimi naomba nione kasura kazuri[emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha nikiyoweka niliweka sura tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubingwa Ni wetu tu.kaeni nao karibu wapenzi wa liverpool, kwa jisi matukio ya dunia yalivyowakalia vibaya wanaweza kujidhuru wenyewe.
wengine wamekopa pesa za vikundi
wengine wameahidi kuoa mke mwengine kama watabeba ubingwa.
wengine wamejiwekea dhamira ya kuolewa na mtoto wa kiume wa Mungu
Mara ya mwisho kubanwa na zipu nilikuwa praimari ila maumivu yake bado nayasikiliziaga sometimes [emoji16][emoji16][emoji16]