Je kwa maneno?Kwamba anakusingizia mzee wa tender lips[emoji3][emoji3]
#kanushanapicha
Mkokaa nakukumbusha tu.Hahah! Huyo alkuwa anachangamsha uzi
ushawahi kujitafuna ulimi?Nilimuona mtoto kabanwa na zipu aiseeh!
Yule dogo alilia hatako hata kuguswa[emoji3]
Atengue kauli kwa pichaKwamba anakusingizia mzee wa tender lips[emoji3][emoji3]
#kanushanapicha
Si ulisema hutaki picha tena
Hahah! Asikuambie mtu hilo tukio ni kisangaNilimuona mtoto kabanwa na zipu aiseeh!
Yule dogo alilia hatako hata kuguswa[emoji3]
😂😂😂😂 mixer usaidizi wa viongozi wadini wakabaini umri ulikosewa .....Hivi Ni huyu aliyesema alikosea miaka yake,akawa amesaidiwa na mke wake na wakagundua kumbe alikuwa amejizidishia miaka?
Uganda Bora bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Balozi wa nyumba 10Aaah mtoto wa baloziii,[emoji2088]
Sikumbuki vizuri ila nahisi itakuwa hivyo kwa mujibu wa Mkorea mpaka kwenda kukatwa niaje au SYB ambae maumivu anayakumbuka adi leoDuuh kinauma eee ukikibana??[emoji85]
Hiyo nadhani Ni utani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mixer usaidizi wa viongozi wadini wakabaini umri ulikosewa .....
Ila kuhusu hiyo post yangu sina uhakika kama ni kweli au ni utani tu
AiseeWANTED
full name: moudgulf mchimba madini
umri: miaka 43
amepotea maeneo ya merseyside jumatano ya wiki hii.
hana ugonjwa wa akili,
handsome boyii,
akicheka anang'ara,
akinuna anapasuka
hahah, naona unafuta ushahidiBalozi wa nyumba 10
Haina mashikoJe kwa maneno?
Wanavyojua ratiba ya mitihani na matokeo yakitoka wanavyo jazana ubaoni [emoji1][emoji1][emoji1]Hawa watchmen wa campus wanajionanga malecturer pia[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
ushawahi kujitafuna ulimi?