Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aaah kumbehii mara nyingi inatumika pale ambapo computer inakuwa restricted kuingia kwnye youtube na kwingineko....hasa maofisini
Duh!!Mkanganyiko tupu yaani. Wamarekani wameshapaniki balaa. Madukani huko hakuna toilet paper, maji hata madawa ya kawaida. Ni kusukumana aisee. Kila unakokwenda kuna hand sanitizer na medicated wipes. Shule zimefungwa na vyuo vingi vinahamishia madarasa mtandaoni. Makazini huko watu wwnaombwa wafanyie kazi majumbani. Tuombe Mungu nyumbani kwetu isifike na inafurahisha wataalamu wanasema kuwa kirusi chenyewe hiki hakiwezani na hali ya joto. Labda hiyo itatuokoa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Chombo ya Moud hiyooo
SYB himuselfu [emoji123][emoji123][emoji123]