Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanataka kutumia kisingizio cha Corona ili tunyimwe Kombe letu. FA wameshaliona hilo.
Timu zote zinazoifukuzia Liverpoo kwa mbali tulizifunga.
Watupe Ubingwa wetu tukajifiche kwenye Karantini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaobisha wapambane na Hali zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
This is Liverpool
 
Wanataka kutumia kisingizio cha Corona ili tunyimwe Kombe letu. FA wameshaliona hilo.
Timu zote zinazoifukuzia Liverpoo kwa mbali tulizifunga.
Watupe Ubingwa wetu tukajifiche kwenye Karantini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waache ujinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mechi zilizobali hata tusipoingiza wachezaj uwanjani ,tukawaacha timu pinzani wacheze pekeyao bado ubingwa Ni wetu.
Kwa point tulizonazo hakuna haja ya kumalizia kucheza..
Wasitutanie[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka hapo Uislam umekushinda,
Hivi kwa mfano nikakukopesha 100tzs na makubaliano Ni kunipa 500tzs siku ya kurejesha
Na nikanunua bidhaa kariakoo kwa 100tzs ,nikaja kukuuzia wewe tmk 500tzs..
Kuna tofauti gani hapo?
Mbona zote Ni upigaji tu.

Weka dini pembeni..nimeuliza swali la kawaida tu Bila kwenda kwenye dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fungu la kukosa....

Ndo imetoka hiyo. Mtapewaje kombe bila kushinda kihalali kwa kucheza michezo yote? Wacheza rede bana [emoji16][emoji16][emoji16]

Itabidi msubiri tena baada ya miaka 30...

You will walk alone dadeki !!!![emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umri wa kakako unaona ni mdogo?
Fikiria mtu keshagonga 40 nawe una 23, mko sawa kiumri?[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Umri wa dada yangu wa pili.
Kuna watu humu mnajitia wazee Sana ,kumbe Ni Kaka zetu na dada zetu tu[emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weee mzee utatuua kwa presha[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utuache
Nyie mnaobishabisha ndio fungu la kukosa.
Kwa point tulizonazo hata tukiwaacha mcheze uwanja mzima wapiznani tu bado kombe tunanyanyua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…