Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Dunia hii inahitaji watu wapole, wenye furaha, wasiojikweza, wacheshi, wenye upendo na wasiokasirika kasirika hovyo. Vyote hivi unavyo TH. Mbona mtu asikukubali?Babe, asante kwa kunishtua....na maujinga yangu kucheka cheka kila muda ila jama anapenda michango yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀 TRMItabidi waseme hizo mada na michango yao yenye kuelimisha na ukomav wa fikra Depal Ayyanna The Happiness
#TenderLipsHaya Sasa
Naomba na kapicha HB wa kichaga nikuone unavyofunika wanaume wote humu[emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]View attachment 1389042
Kuna comments zako nakutanaga nazo huko mitaani zinafikirisha sana utafikiri una PhD ya Falsafa...au siyo andaeitini....[emoji854][emoji854][emoji120]
NakaziaKabisa kabisaaaView attachment 1389035
Nipe connection Basi nione na mimi#TenderLips
#Amazingskin colour
Usijari bro, ntakuwekea sehem nyingine, hilo lisikupe shaka kabsa..Nimeikosa kosa picha yako bro....na konekisheni sina dah!
Huwa natamani sana kukuona mdogo wangu...Unazo busara sana na tangu uingie kwenye uzi huu na Shiro wako umezidi kujiimarisha na kujijengea heshima kubwa.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
😂😂 aiseeNakazia
Usijali[emoji26][emoji26][emoji26]
Wewe wakuniweka mchana kutwa humu halafu hutaki kunionyesha picha??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazia vizuri my dearNakazia
Sitakosa hiyo mida...Usijari bro, ntakuwekea sehem nyingine, hilo lisikupe shaka kabsa..
Hahah umenikumbusha mbali bro,kile kipindi tunakuja na Shiro hapa, nilikuwa mgeni Jf,sema mlitupokea vizuri sana kuanzia hapo tumekuwa familia moja yenye upendo,aman utani wa hapa na pale, kifupi tunafurahi kuwa kwenye uzi huu!!
Asante bro, ntakucheki leo usiku kwenye ile mida yetu!!