Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndoa za kisukuma zinaruhusu ndoa za mitaala(mke zaidi ya mmoja).
Kwa kawaida wasukuma huoa kwa mahali ya ng'ombe kati ya 7 mpaka 20. Hii ni kawaida lakini mahari inaweza kuwa ng'ombe 25 mpaka 70 pale atakapokuwa anaozeshwa Binti mweupe.
Hata akiwa na rangi kama hii tu halafu awe amesoma soma basi kazi unayo. Tena afadhali siku hizi wanachukua hela. Enzi zangu mwishoni mwa miaka ya 60 aisee bila ng'ombe hupati mke. Mambo yamebadilika sana....
 
Mataifa yanayoongoza Duniani kwa kuwa na Wanawake wenye muonekano mzuri zaidi.

10. Brazil
9. Argentina
8. Ufilipino
7. Australia
6. Afrika Kusini
5. Sweden
4. Puerto Rico
3. India
2. Marekani
1. Venezuela
Brazil hawa mullatoes mchanganyiko wa weusi na Wareno aisee ni habari nyingine. Tena wana maumbo ya Kibantu kabisa. Venezuela pia ni fayaaa halafu warahisiiiii....[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Wa games kuwekwa idara sawa na machizi
Hiyo kama Movie ya Wahindi niliiweka kundi moja na ile ya Mto wenye kisiwa chenye mto wenye kisiwa chenye mto wenye kisiwa chenye mto wenye kisiwa cheche mto ndani ya kisiwa chenye mto ndani ya kisiwa chenye mto ndaniya kisiwa chenye mto wenye kisiwa chenye mto.......

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wenye uwezo kifedha (Matajiri) ndio wanao ongoza kwa kuiba katika maduka huku wakijifanya kununua bidhaa (Shoplift).
Kuna mmoja hapa alikamatwa mwaka jana kwa kuiba blender yenye thamani ya dola 18. Wakamtia ndani kuja kugundua jamaa ni bilionea na wiki kama mbili tu zilizopita kabla alikuwa amenunua kisiwa binafsi huko Bahama kwa dola milioni 16....
 
Hata akiwa na rangi kama hii tu halafu awe amesoma soma basi kazi unayo. Tena afadhali siku hizi wanachukua hela. Enzi zangu mwishoni mwa miaka ya 60 aisee bila ng'ombe hupati mke. Mambo yamebadilika sana....View attachment 1389903
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mmoja hapa alikamatwa mwaka jana kwa kuiba blender yenye thamani ya dola 18. Wakamtia ndani kuja kugundua jamaa ni bilionea na wiki kama mbili tu zilizopita kabla alikuwa amenunua kisiwa binafsi huko Bahama kwa dola milioni 16....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wana matatizo hawa watu,si angeinunua tu kuliko kuiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…