Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Tunaweza kudhibiti corona kama kila Mtu akitimiza jukumu lake, habari njema ni kwamba licha ya kwamba ni Mtanzania ila mgonjwa ametoka nje, ugonjwa haujaanzia Tanzania, tunawafuatilia wote waliokutana na mgonjwa tangu jana alipofika uwanj wa ndege wa KIA tutawaweka kwenye nyumba za uangalizi kwa siku 14 ili kuhakikisha tunaudhibiti ugonjwa huu"- Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu
#MillardAyoUPDATES
 
Hospitali ya Taifa Muhimbili na taasisi zote za hospitali hiyo kuanzia leo Machi 16 wataruhusu ndugu wawili asubuhi na jioni huku mmoja akiruhusiwa mchana kuona ndugu zao wanaopatiwa matibabu ili kuchukua tahadhari ya kusambaa kwa virusi vya corona #MwananchiUpdates
 

Usisite kutupa mirejesho hatua kwa hatua....
Tupate uzoefu kutoka kwako...
Sikuombei lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…