Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Kwa hali ya sasa ya maingiliano ya watu kiuchumi na vinginevyo haiwezekani kuzuia watu wasiingie kabisa kabisa eti ukasiliba mipaka yote. Kiuhalisia hilo haliwezekani....
 
Kwa hali ya sasa ya maingiliano ya watu kiuchumi na vinginevyo haiwezekani kuzuia watu wasiingie kabisa kabisa eti ukasiliba mipaka yote. Kiuhalisia hilo haliwezekani....
Haya Sasa.
Yafaa Nini kupata hell ambazo tunaenda kufa na kuziacha?
Ila,
Naamini wataalamu wetu wa Tanzania Wana vifaa vya kisasa vya kubaini maambukizi
Na imejipanga thabiti kukabiliana nayo..

Hivi marekani lilivyo taifa kubwa vile..bado Rais wake Ana hofu na hili gonjwa
Lakini
Ngoja tu niishie hapo.
Nisijekamatwa bure maanani natamani sana kutukana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…