Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Tukana tu ili utoe nyongo mwilini....

Usijilinganishe na hawa wakubwa [emoji16][emoji16][emoji16]

Hawa walipoona ugonjwa umeanza badala ya kutumia vipimo vya Wachina/Wakorea/Wajapan waliamua kutengeneza vya kwao. Wana tabia hiyo. Safari hii kumbe vipimo walivyotengeneza vilikuwa na hitilafu. Ndipo hapo moto umewaka unamuona rais wao anahaha sana kwa sababu watu wanahisi kuwa kosa hilo limesababisha madhara makubwa kwa kutojua walioambukizwa tayari...imebidi watumie vya Wachina japo na vyao wanasema viko tayari.

Sisi hatuko siriazi katika karibu kila kitu tunachofanya. Kwa nini ulitegemea tuwe makini katika hili wakati mambo mengine yote tunayafanya Kiswahili swahili tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…