Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naamini wataalamu wetu wa Tanzania Wana vifaa vya kisasa vya kubaini maambukizi
Na imejipanga thabiti kukabiliana nayo..
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]

Hapo pamenifurahisha maana nimeshindwa kusikitika.

Ngoja niishie hapo
Mbona Walisema wao wenyewe.
Tutembee vifua mbele..tuko vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]

Bi mdashi yuko poa sana namshukuru Mungu
Anaongezeka na uzito,juzi ananiambia anataka kuolewa tena[emoji23][emoji23]

Amina ankoo[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Shwaini zake anafikiri ile ni kazi nyepesi kwa balance ya mguu mmoja.
Aendelee kulea wajukuu tu. Kigilagila sijui ndio hali ikoje kama utakuwa umewatembelea?
Mungu ni mwema tuendelee kumtegemea kwa kila jambo [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…