Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Corona imemtoa mkwepu jr machimboni
We mwenyewe imekutoa. Muda mrefu ulikuwa hujakaa hapa namna hii. Umesikia tu Mount Meru kimenuka tayari huyoo umekuja kupata faraja hapa.

Usiogope lakini. Hutapata Corona; na hata ukipata wala hutajua kwani itakuwa ni mafua tu ya kawaida. Wasiwasi ni kwa sisi wahenga wenu !!!
 
Tz tutakufa Kama nzi waliopuliziwa rungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Corona haina mortality rate kubwa namna hiyo. Inaua sana wazee na watu ambao wana magonjwa tayari na ye yote ambaye immune system yake imekuwa dhaifu. Kama mtu uko mzima huumwagi umwagi hovyo na bado uko andaeitini utaishia kupata mafua tu.
 
Mmh kweli??? Mi nilijua kila anayeumwa anakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…