Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huko kudeka sasa. Watoto wa kishua nyie mtakuja kufa hata na umayai na ubishololo tu hata kama mko wazimaWe haya tu....me mafua tu ya kawaida uwa yananilaza, huyo corona si ntakufa ghafla tu
Nimependa kwamba ulikula alafu mambo mengine yakaendelea
Uwa napata hofu tu
Mara dawa ya corona ni kumeza sperm.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu roho amempa dawa ya Corona huko
View attachment 1390421
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona inazuilika kwa k vant na nyagi[emoji23][emoji23]
Duh! Lala tu itakuwa ni usingiziMara dawa ya corona ni kumeza sperm.
#nilikuwepo
#LaleniSalama
Kweli bro, sio ushua sio ulaini. Me mafua uwa yananitesa mno.Huko kudeka sasa. Watoto wa kishua nyie mtakuja kufa hata na umayai na ubishololo tu hata kama mko wazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwa nini wabongo huwa wanapenda kufanya mzaha kwenye vitu vya msingi
Hahah! Kim hana masiharaKwamba hao wagonjwa wana r.i.p??[emoji849][emoji849]
Nimeelewa kama sijaelewa
Unashangaa nini? Yote yanawezekana chini ya jua.Duh! Lala tu itakuwa ni usingizi
Hata wazungu mbonaSijui kwa nini wabongo huwa wanapenda kufanya mzaha kwenye vitu vya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo sasaBwenini....
View attachment 1390380
SawaUnashangaa nini? Yote yanawezekana chini ya jua.
#DontTakeItPersonal
Hahah! Sijui kwanini tuSijui kwa nini wabongo huwa wanapenda kufanya mzaha kwenye vitu vya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23]
#hatamiminaona