moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Duh, inanitokeaga...mfano napita mahali napata feeling kuwa nilishawahi kupita katika wakati ule ule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume si ndiyo wenye sperm shem [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake tutapona
Wanaume je?[emoji848][emoji848]
Smart amekorofisha nini? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifumba macho tu waiona Corona....Nimerudi...hata hapalaliki
Inakuaje Mkatalunya?
Halafu linene sasa dah !!!Aisee
Lets hope for goodHapana haipo hivyo bro hii Dunia bado haijafika mwisho, hayo ya watu kijifungia ndani ni swala la muda tu yatapita na kila kitu kitarudi kama zamani
Hahaha lohNiliwahi kojiona kuwa nilikuwepo miaka kadhaa iliyopita wakati wazee wakisimuliana matukio ya miaka iliyopita kabla sijazaliwa.
Kila wanavyohadithiana najihisi kukumbuka matukio husika ingawa sikuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwannNa kwanini itokee?
Niko hapa nakunywa kahawa yangu kwa amani shem mbele yangu hapa lijibinti tipwa tipwa hivi jeupe limekaa tu linakula salad nageuka hivi nakutana na lijiupaja hilooo halafu lenyewe linajishebedua shebedua tu huku likiongea kwenye simu. Limekuja kuachanisha miguu shem ikulu kabisa laivu halina kitu ndani. Imebidi tu nikemee na kuondoka shem. Shetani shindwaaaaa !!! Roho ya kupenda misambwanda shindwaaa !!! Roho ya Korona shindwaaa !!! [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shem vipi tena
Yuko wapi huyo binti sasaAaargh...Huyu binti kaniharibia siku yangu. Kakaa tu vibaya halafu kumbe hata kufuli hana. Shwaini kabisa wallahi [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Utakaa [emoji777]Siwajibugi mbovu mimi, ila matendo tu utakaa unisumbue sumbue hovyo
Yanakwenda mzee japo mwendo wa Kobe ila ndio yanaenda hivyoGood vipi majambo yanakwenda
Hujawahi kuibukiwa na demu bro?Kwani ni usumbufu kutongozwa
Nilitaka kuedit ila simu ikaita. Normal typo 😎Utakaa [emoji777]
Hutakaa [emoji818]
Kwani nawe ni nshomile au kule UK kwa Yego? Au ni typo tu ya kawaida?
Niko hapa nakunywa kahawa yangu kwa amani shem mbele yangu hapa lijibinti tipwa tipwa hivi jeupe limekaa tu linakula salad nageuka hivi nakutana na lijiupaja hilooo halafu lenyewe linajishebedua shebedua tu huku likiongea kwenye simu. Limekuja kuachanisha miguu shem ikulu kabisa laivu halina kitu ndani. Imebidi tu nikemee na kuondoka shem. Shetani shindwaaaaa !!! Roho ya kupenda misambwanda shindwaaa !!! Roho ya Korona shindwaaa !!! [emoji2221][emoji2221][emoji2221]