Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema inafanya uchunguzi wa athari za fedha za kidijitali (cryptocurrency) na biashara ya fedha za kigeni (forex trading), katika uchumi. Matokeo ya uchunguzi yataamua kama kuna haja ya kuwasajili wanaotoa huduma hizo (brokers) nchini, au la.
 
Cha msingi umeangalia na haukushirikisha moyo
Big up bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Yaani hapa nilipo ni full upako bro. Nimekemea sana....

Muda mrefu kidogo hatujajualiana hali bro. Kuko shwari huko chimboni kwako? Ulikuwa katika sala zangu za kimya kimya bro. Nafurahi sasa jua limeanza kuchomoza na bahari imepunguza mawimbi yake. Mungu ni mwema sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Katika mlima Everest teknolojia ya 4GLTE inapatikana, iliwekwa na Huawei kwa kushirikiana na mitandao ya simu nchini China, Lengo ni kuhakikisha watu wanaopanda mlima huo wanapata huduma ya intaneti bila tabu yoyote kwa kipindi chote wakiwa wanapanda mlima.
 
Asee, majanga kila kona.
Huu ndiyo muda sahihi wa kumrudia Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…