Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Wale wale tusiojua kufungua next page mpaka tupake mate kidoleni.Kuna seneta hapa alikuwa kwenye TV akitoa nasaha watu waache kujishika usoni hovyo hovyo kumbe jamaa wanamhesabia. Hotuba ya dakika tatu alikuwa keshajishika usoni zaidi ya mara tisa na mara tatu alilowesha kidole chake kwa ulimi ili afungue hotuba yake na kuendelea kusoma. Sasa hivi kageuka meme tu inatrendi [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh! Me hadi Hosp naenda
HahaKuna baadhi ya wanawake wakisema hapana nia uendelee kumpa mistari zaidi ili alegee, huwa hivyo pia hata mkiwa chumbani, ndiyo maana baadhi ya wanaume huwa ving'ang'anizi wakiamini huwaenda siku moja wakafikiriwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshakunywa dada, unadaiwa huku
Mafua na panadol?!! Wenzetu mko na kinga nzuri.Nadhani unaenda hospitali kwakuwa unaishi mji wenye hali ya ubaridi.
Kwenye miji yenye joto kali kama ya huku kwetu mafua yanauma siku mbili unameza panadol biashara inaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha
Sasa hao wanawake wanatuharibia kina sisi hapa ambao hapana zetu zinatoka moyoni kwa kumaanisha.
Mafua na panadol?!! Wenzetu mko na kinga nzuri.
Mimi mafua yakinionea huruma week moja.na hapo nishameza chenga chenga, citrizen + madawa yale ya maji.
Panadol sbb ya kichwa, huwa napata homa acha kabisa
😀😀😀 hawezi kuwa wife bora huyoMwingine akisema hapana jua tayari kitu kishakubali[emoji23][emoji23]
Kesho ukiongeza mistari miwili unajitwalia wife[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ya moto na chumvi 😀😀 sionagi yakisaidiaPole,
Mafua yakinibana nakunywa maji ya moto na panadol kutuliza kichwa.