Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahah! Sio ajabu sema tu unatuchanganya sisi mashabiki zako [emoji3]
Noma sanaNimeisikia hii nikaishia kucheka tu mwenyewe. Wamemaliza toilet papers zote na hand sanitizers madukani, wamehamia kwenye bunduki sasa. [emoji3][emoji3]
Hongera nyingi ziwafikie Sony 😀PlayStation ndiyo kifaa kinachoongoza kwa kuuzwa zaidi kwa muda wote duniani. Mpaka sasa jumla ya mauzo ni $344M tangu ianze kuuzwa mwaka 1995. PlayStation inamilikiwa na Sony!
Duh! Me hadi Hosp naenda
😃 mwanzo ilikuwa ps 2Kuanzia ps 1
Sasa tunajua hiyo inakuwa sitaki nataka ndio maana huwa tunaliendeleza. Halafu huwa mnapenda kidogo kidogo mwisho wa siku unamtunuku kwa kumuonea huruma ya usumbufu uliomsababishia [emoji3][emoji3][emoji3]Eti huwa tunafanyaga nini kuwaepuka? Moana [emoji3][emoji3]
Ila wanaume muwage waelewa jamani, wengine hatuna lugha chafu basi nikikwambia hapana haiwezekani uelewe. Huwa mnatutesa sana mwisho wa siku naishia kukipiga Block
Kwaupande wangu mimi sina sababu ya ziada 😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sababu huwa ni hiyo tu au kuna sababu nyingine
Mwafrika hawezi kufa kwa mafuaUjue me nashindwa kuelewa. Si walisema kirusi hakina dawa!! Then how come hao wamepona?
Na vipi yule wa Kenya? Sikusikia tena. Shwain zako we Kirusi, nitafata tu tahadhari na kumuomba Mungu wangu wallah lkn sitaki kusikia story yoyote kumuhusu Corona.
That's trueKuna baadhi ya wanawake wakisema hapana nia uendelee kumpa mistari zaidi ili alegee, huwa hivyo pia hata mkiwa chumbani, ndiyo maana baadhi ya wanaume huwa ving'ang'anizi wakiamini huwaenda siku moja wakafikiriwa
Eti huwa tunafanyaga nini kuwaepuka? Moana [emoji3][emoji3]
Ila wanaume muwage waelewa jamani, wengine hatuna lugha chafu basi nikikwambia hapana haiwezekani uelewe. Huwa mnatutesa sana mwisho wa siku naishia kukipiga Block
Kwaupande wangu mimi sina sababu ya ziada [emoji16]
Vipi akisema yupo tayari kushare?Umeona eenh?? Mie huwa nawaambia tayari nina mtu vipi uko tayari kushare na mwanaume mwenzio?? Nikijua kwamba wanaume huwa hawapendi kushare wanawake hivyo wakisikia wanajiengua wenyewe!! Japo wengine wabishi hao huwa wanasema hayo ndiyo majibu yetu wadada washayazoea maana huwa hatumaanishi!!