Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Of course mtu anaebadili id lazima awe na sababu zake binafsi ata wewe ulivyosema unataka kubadili najua una sababu maalumuKuna mtu mmoja humu JF tena mkongwe sana aliwahi niambia "mtu anapoamua kubadili id huwa na sababu zake binafsi", na chanzo cha yeye kuniambia hivyo ni baada ya mimi kumuomba mtu fulani ninayemkubali sana humu arudishe id fulani aliyowahi kuitumia hapo nyuma.
Bageshi; nafurahisha genge tu na ujinga wangu as usual .....Kwa wazungu huko ndo wanafanya hivyo
Mimi nimeanzia 1π mwanzo ilikuwa ps 2
ππππMie huwa namblock hehehhe
Tunamshangaa maana tunamwonaga uchiAliyekuwa mcheza filamu za ngono, Mia Khalifa amesema hujusikia aibu sana anapokuwa maeneo ya umma, kwani watu wanavyomshangaa hujioona kama vile wanaona hadi ndani ya nguo zake. Amesema anasumbuliwa na msongo wa mawazo kutokana na kazi hiyo aliyoifanya.