Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,233
Hii show imeisha toka miaka kama 13 iliyopita ila Kila mwaka inawaingizia $1Billion. Hao waigizaji 6 wanapata 2% ya mapato ya kila mwaka ambayo ni sawa na 20 million$. Yaani miaka kama 13 wanaingiza 20 million bila kufanya lolote, Bongo tutafika kweli huku?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Chokolatenasubiriuniletee
Ndio maana nakupendaga 😁[emoji23][emoji23]
#usijali
Ntakutafuta tuzungumze vizuri😊Mimi pia nakumiss sana
Ila kwanini hivyo?
Niko na 43 mie...marahaba mdogo wangu
Aya nakusubiri...... Ila sasa ole wako unidanganye 🤔Ntakutafuta tuzungumze vizuri😊
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa na 38 na mimi nitafanya kama yule shabiki wa Simba ambae Moud alimuweka hapa jana
Bebe leo umekuwa dj?