moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Namjaza tu hapa ili ajione nae kidogo anakaribia uhenga ila kiuhalisie nae ni kama wewe tu, watoto wadogo kulilia ukubwa
Aiseee mimi tena? Kwanza hizi habari huwa sipendi kuzijadili sana tena na haya makorona uwii natamani ningekuwa andaeitini
Sent using Jamii Forums mobile app
π π Babe, leo nakaimu nafasi ya Sisy KgothaloBebe leo umekuwa dj?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua kwenye harakati za mikopo enzi hizo kibonde(R.I.P)alikua moto kuwadhihaki wanachuo wanaolilia mikopo
Yule wa kukimbia mtupu toka Kino hadi Kawe
Nyieeeee endeleeni kufurahi mwenzenu nina hofu kitu kishatua dar nisepe Tanzania huko nako hakuna kuingia wala kutoka.Allah tusaidie waja wako.
Teh[emoji28][emoji28]Babe, leo nakaimu nafasi ya Sisy Kgothalo
Tetesi hapa hospital ya Sinza kuna mtu kanambia mda huu naogopa yaani[emoji22]
Teh
Aya tupe burudani
Sisi tupo hapa mount meru tunataka kumwona mgonjwa wa korona yupoje
Siumejikausha ππBro ππππ
Siogopi Mpendwa, Kiimani tunaambiwa kama umepangiwa kupatwa utapatwa tu na kama hujapangiwa hautapata.....
Tukija kiuhalisia tumeshapewa tahadhari na njia za kujikinga na maambukizi sasa basi tuzifuate hizo njia kwa usahihi Mpendwa
We Suffer more from Infoedemic than Epidemic