Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hyundai imezindua gari jipya, Sonata Hybrid, lenye mfumo wa kuchaji betri kwa umeme wa jua, utakotumika sambamba na mfumo wa sasa. Mfumo huo unaweza kuchaji betri hadi 60% kwa siku, hata gari lisipotumika. Pia utaimarisha matumizi ya mafuta, na kuongeza umbali unaoweza kwenda.
 
Sunanda Kumariratana, malkia wa Thailand, alikufa kwa kuzama baharini na boti yake. Watu waliokuwa naye hawakumuokoa kwa sababu kumgusa malkia lilikuwa ni kosa lenye adhabu ya kifo. Alikufa akiwa na umri wa miaka 19 na alikuwa mjamzito. (Wikipedia)
 
Tafiti: Watu warefu huishi kwa muda mfupi tofauti na watu wafupi. Sababu inatajwa, mtu mrefu Seli zake hujivunja vunja sana hivyo huathiri mpangilio wa DNA. Kujivunja vunja kwa seli hupelekea seli kutokuwa na nguvu pia na kuathiri afya.
Chanzo: Mirror
 
Kuwa na Stress' hupelekea kuongezeka uzito, kwa baadhi ya watu.
-
Ushawahi kuona mtu anakwambia ana Stress lakini kila siku anazidi kunenepa??
-
Sababu inatajwa kuwa mtu anapokuwa na Stress' mwili wako unaenda katika 'Fight au Flight Mode'
-
Hali hiyo hupelekea Kongosho kutoa Insulin kwaajili ya kuandaa misuli kwaajili ya kufanya jambo fulani.
-
Kama hautatumia Insulin hiyo, Kongosho huirudisha tena...sasa hicho kitendo cha kupanda na kushuka kwa Insulin' hupelekea Mtu kuwa na njaa hivyo kuhitaji kula zaidi.
-
Ndiyo maana kuna watu wakiwa katika Stress hula sana kuliko kawaida.


Chanzo: BBC
 
Priapism' ni hali inayowapata wanaume ambapo Uume' husimama zaidi ya masaa kadhaa bila uwepo wa vishawishi vyovyote vya kufanya usimame. Matibabu yake kwa muda mfupi ni kujichua (punyeto). Hali ukiona inaendelea muone daktari kwa ushauri na matibabu.
Chanzo: Heathline
 
Kinadharia (Theory) hakuna chombo ambacho kinaweza kusafiri kwa spidi ya mwanga ambayo ni 300,000,000 m/s. Lakini kama siku itawezekana kutakuwa na chombo kitakachoweza kusafiri katika spidi hiyo, Utaweza kuizunguka dunia mara 7.5 kwa sekunde 1 tu.

Chanzo: Space
 
Kama utapanda katika chombo chenye uwezo wa kwenda spidi ya mwanga ambayo ni 300,000,000 m/s na uliondoka ukiwa na miaka 15 ukatumia miaka 5 ukiwa katika chombo hicho. Ukirudi Duniani marafiki zako ambao mlikuwa nao sawa miaka 15 utawakuta wakiwa na miaka 65 lakini wewe una miaka 20.Chanzo: Study, Nasa...
 
Tafiti: Matumizi ya Bangi' yanaweza kukubadilisha moja kwa moja namna unavyotembea. Watumiaji wengi wa Bangi' hutembea kwa haraka huku mabega yao wakishusha chini kidogo!Chanzo: Green Rush Daily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…