Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Strictly Silk, ni klabu ya muziki iliyopo jijini Nairobi, Kenya maalum kwa ajili ya wanawake pekee, ambapo wahudumu, DJs, walinzi, washereheshaji ni wanawake. Klabu hiyo ya usiku ilianzishwa kuepuka usumbufu wa wanaume ambao wanawake walidai kuupata kwenye klabu mchanganyiko.
 
Benki ya Jyske ya nchini Denmark inatoa mkopo kwa riba ya -0.5%, ikimaanisha kuwa utalipa kiwango pungufu ya ulichokopa. Benki hiyo ya tatu kwa ukubwa nchini humo inatoa riba hiyo kwa watu wanaochukua mkopo wa nyumba wa hadi miaka 10 (fixed rate mortgage).
 
Constipation tatizo, waweza kujikuta unamaliza hata lisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…