Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu hubakia katika mahusiano ambayo hawana furaha nayo kwa kuogopa kumuumiza mwenza wake kihisia' kama atataka waachane. Namna mpenzi wako anapokuwa tegemezi kwako kwa kiasi kikubwa ndivyo nafasi ya kuendelea kubaki katika mahusiano hayo nafasi huwa kubwa zaidi.
 
Paka' anapojisugua sugua katika miguu yako ni kiashiria kuwa anakumiliki hivyo na hukuachia harufu yake. Hufanya hivyo pia katika vitu vingine kama viti, meza sehemu mbalimbali za nyumba kuonesha umiliki. Hii hufanywa pia na wanyama mbalimbali wengine kama Simba, Chui, Fisi n.k
 
Kwa mujibu wa mtandao wa World Atlas, katika aina 10 za nyoka wenye sumu kali zaidi duniani, 6 wanapatikana Australia. (WorldAtlas)
10. Western Australian Tiger Snake - Australia

9. Black Tiger Snake - Australia

8. Black-banded Sea Krait - Brunei

7. Many-banded Krait - China

6. Coastal Taipan - Australia

5. Peron's Sea Snake - Taiwan

4. Yellow Bellied Sea Snake - Tropic

3. Eastern Brown Snake - Australia

2. Dubois's Seasnake - Australia

1. Inland Taipan - Australia
 
Tende' ndiyo tunda pekee ambalo linaupatia mwili vitu vinne kwa wakati mmoja; Vitamini, Protini, Wanga na Mafuta. Baadhi ya faida zake, Husaidia kurekebisha matatizo ya tumbo, Kuimarisha moyo, Kuongeza nguvu na stamina ya kufanya mapenzi na kuongeza virutubisho kwenye maziwa ya mama anayenyonyesha.
 
J Cole' alimaliza Shule akiwa na GPA Ya 4.2. Alipata Scholarship Katika Chuo Cha Kikuu Cha St. Johns akianza kwa kusoma Degree ya Computer Science' lakini baadae alibadilisha kwenda Degree Ya Communication and Business' sababu anasema alibadilisha kutokana na kuyaona maisha ya Upweke Ambayo Alikuwa Akiishi Profesa Aliyekuwa Amebobea Katika Computer Science'-Alimaliza Chuo Mwaka 2007 Na GPA Ya 3.8 Lakini Degree Yake Alitunukiwa Rasmi Mwaka 2015 Sababu Hakulipa Pesa Ya Maktaba Hivyo Chuo Kikashikilia Degree Yake.
 
Kifo siyo lazima kitokane na mashambulizi ya virus wa corona.
Kwenye nchi za kinamasikini kama zetu tukianza kupata vizuizi kwenye shughuli zetu za kiuchumi za kila siku tatizo linakuwa kubwa zaidi kuliko ugonjwa wenyewe
Sasa tunaongea lugha moja bro πŸ‘ŠπŸΌ...

Kweli hili janga ni kisanga kama maambukizi yatazidi kuongezeka zaidi na zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…