Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

β€œTuna ongezeko la wagonjwa wawili ambao wamethibitika kuwa na corona Tanzania, mmoja kutoka Zanzibar yeye ni Mjerumani ana miaka 24 na tayari yupo kwenye uangalizi, na hapa DSM tuna Mmarekani mwenye miaka 61 amebainika kuwa na corona pia” - MAJALIWA
#MillardAyoUPDATES
 
Saudi Arabia imetangaza kuifunga Misikiti yake yote na kuwataka Waumini kuswali swala tano za kila siku na Swala ya Ijumaa wakiwa kwenye nyumba zao lengo likiwa ni kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona, Ibada itaendelea kwenye Misikiti miwili mitakatifu pekee ya Makka na Madina lakini milango ya Misikiti mingine yote inafungwa.
#MillardAyoUPDATES
 
Mwanadiplomasia wa ngazi za juu nchini China, Yang Jiechi amempigia simu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo na kuionya Marekani kuwa hujuma wanazozifanya katika kuidhoofisha China kwenye juhudi za kupambana na Virusi vya corona hazitofanikiwa.
β€’
Kupitia mazungumzo ya simu, Mwanadiplomasia wa China Yang Jiechi amemueleza Pompeo kuwa China haikubaliani na siasa za USA zinazolenga kuichafua China kuhusu corona na kusema wakiendelea China itaichafua Marekani zaidi, jana Trump amenukuliwa akisema corona ni virusi vya China.
#MillardAyoUPDATES
 
Iran imewaachia kwa muda wafungwa 85000 kutoka Gerezani wakiwemo wafungwa wa kisiasa ili kupunguza kuenea kwa virusi vya corona, bado hawajatoa maelezo ya kwamba ni lini wafungwa hao watarudishwa tena Gerezani na namna ambavyo wataweza kuwapata tena kutoka Uraiani.
β€’
Wafungwa walioachiwa ni wale wanaotumikia kifungo kisichozidi miaka mitano, Iran tayari imeripoti wagojwa wa corona 16,169 na vifo vimefikia 988 hadi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…