myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa jiraniHili suala la mask linahitaji elimu kwakweli
Watu wanavaa na hawajui kwanini wanavaa
Walizidi kujidai na kutupigia makelele wacheza rede wa Mwakaleli wale. Mi nasemaga kila siku kwamba maisha ni haya haya na kasayari ni haka haka hakuna kengine....Muhimu sana kuwa humble [emoji16][emoji16][emoji16]MASKINI Liverpool katika msimu ambao kila kitu kila walichogusa kiligeuka dhahabu, virusi vya corona vinataka kuharibu kila kitu. Huruma.
Sitembei na pesa tena...
Wengine wanaokota zilizotumika na kuzivaa tena. Wanadai ziko safi tu na zinaonekana kama mpya....Hili suala la mask linahitaji elimu kwakweli
Watu wanavaa na hawajui kwanini wanavaa
Eti abiria wasijazwe....“Tusiwe na taharuki ili tuendelee na shughuli zetu, hatua zitaendelea kuchukuliwa, tupunguze mikusanyiko, maduka na masoko shughuli zitaendelea, huduma za usafirishaji zitaendelea ila abiria wasijazwe (iwe level seat), tunawahifadhi wagonjwa tatizo likiisha tutawatoa” - WAZIRI MKUU MAJALIWA
#MillardAyoUPDATES