Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Safi, mambo vipi?[emoji137]
Kwema?
Ndio zikoje hizo sura za kudaia madeni? Hebu tupiamo tuhakiki bana.
Nyie ndiyo mnaotakiwa[emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]TAFITI: Wanaume wanaopenda kuweka sana picha zao za selfies' katika mitandao ya kijamii huwa na matatizo ya akili.
I'd mpya[emoji16][emoji16] sasa mbona mnatukejeli ??
Hii ni kweli, kabinti kangu kananifariji sana.Tafiti: Kuwa na watoto wa kike kwa mwanaume (Baba) huongeza miaka zaidi ya kuishi.
Aiseeh!Kufikiria kuhusu ngono inasaidia kubana mkojo bila matatizo yoyote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!Autassassinophilia ni aina ya paraphilia ambapo mtu anapata msisimko wa kingono kwa kutishiwa uhai. Mfano wakati wa tendo anataka afungwe kamba kama ametekwa, akabwe shingoni, atishiwe na bunduki n.k (Wikipedia)
Poa sanaSafi, mambo vipi?
I'd mpya
MoanaMember yule yule [emoji16][emoji16]
Karma au Khantwe 🤔Member yule yule [emoji16][emoji16]