Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lol wamenichoka, this time walitaka kunikatalia nikawaambia ndiyo mara ya mwisho sitawaomba tena wakasema nilichokiahidi kitawekwa kwenye kumbukumbu za JF.

Hivyo mimi hapa nilipo sina tena haki ya kubadili id JF milele na milele, uzuri ni kwamba hata mie sina mpango wa kubadili tena.
Tupe ubuyuuuuu,kilitokea nini?
 
Nimecheka utadhani mazuri. Sasa kama wewe wamekuchoka je kwa davinc itakuwaje maana nae ana kamchezo ka kubadili ID

Ingefaa JF waweke utaratibu kubadili id mara tatu kwa mwaka
 
Na Mimi kukaa Bila simu Ni shida..
Yaani nimekuwa mdogo Kama piriton..hapa imebaki 10%[emoji26][emoji26]
Navuta siku..kesho nitaenda kusaidia kazi shamba..nivute vute siku,keshokutwa niondoke zangu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu siku niliiona siku ndefu. Maana chaji inaenda fasta na ugenini hakuna mengi ya kufanya unajikuta muda mwingi upo peke yako.

Ina maana na kesho tutakukosa humu uwiii tutakumiss sana
 
Hapana, halafu ujue wewe nimeanza kukuona huku kwenye huu uzi kule MMU nilikokuwaga nabishana sikuwahi kukuona kabisa.

Anyway mlolongo uko hivi: Edelyn, Marianah, Karma, Moana, Zoë, je kwa mtazamo wako kati ya hizo id zote ipi unaiona nzuri?
Huu ubuyu mwingine,ulianzia ipi?isijekua nilishakuzinguaga huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu kweli nilikuwaga simuoni kabisa
Hakukuona enzi izo umebatizwa jina la mama beijing[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125]

We mpwa wake na melo unatutesa na majina yako..zuu sijui zoa.
Mimi nitaita marianah
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu siku niliiona siku ndefu. Maana chaji inaenda fasta na ugenini hakuna mengi ya kufanya unajikuta muda mwingi upo peke yako.

Ina maana na kesho tutakukosa humu uwiii tutakumiss sana
Yaani dah[emoji26]
Kama mimekaa mwezi hivi..wakati Nina siku moja tu aisee..
Mimi kukaa kwa watu Ni mtihani.

Nataka niwahi kabla hawajazuia vyombo vya usafiri..maana wakizuia na wakati nipo huku,nitalia na kusaga meno Mimi[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana, halafu ujue wewe nimeanza kukuona huku kwenye huu uzi kule MMU nilikokuwaga nabishana sikuwahi kukuona kabisa.

Anyway mlolongo uko hivi: Edelyn, Marianah, Karma, Moana, Zoë, je kwa mtazamo wako kati ya hizo id zote ipi unaiona nzuri?
MMU nilikuaepo wakati nikiwa mgeni nikaja kupenda sports,celebrities na hapa zaidi.

Nimeanza kukuona kwa uzi wa selfie kwa ID ya karma. Ila nitaizoea zoe maana ni ya kudumu so hii ndo nzuri zaidi.

Edelyn na mariana nazo nzuri ila hizi fupi zimekupenda zaidi
 
Si ndiyo hapo sasa, mie hata mwaka haujaisha ila tayari nimebadili mara nne.

Yule dogo sijui huwa anamtafuta mod gani aiseee
Nimecheka utadhani mazuri. Sasa kama wewe wamekuchoka je kwa davinc itakuwaje maana nae ana kamchezo ka kubadili ID

Ingefaa JF waweke utaratibu kubadili id mara tatu kwa mwaka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu kweli nilikuwaga simuoni kabisa
Hivi Ni kweli kwamba una undugu na melo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kumtafuta tu Mara ya 2 anirudishie jina langu nilihisi mkojo unanitoka..yaani huwa nawaza upande wa pili nachukuliwaje..sipendi kuchosha mtu.

Nadhani atakuwa alisema tu huyu Mtoto lol,Ngoja nikibadilishie hivyohivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…