Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Makofi[emoji120][emoji120][emoji120][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna siyo ulevi, sikuwa nimepata jina ambalo mimi nililiona zuri, japo nilitamani niishie kwenye Karma yaani nilipanga id ya Karma ndiyo iwe ya mwisho sitabadili tena ila kuna mtu akanikatisha tamaa.
Kubadili badili I'd kama unavyofanya wewe nadhani ni aina furani ya ulevi.
Wapo wanaobadirisha kwa sababu za msingi lakini haiwezi kuwa zaidi ya mara moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…