Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo unataman kuuliza hayo ni matembelea au marando(hata marando hujui ni nini)wakishuaaaaHahah! Hayo maisha ndio ya shamba kama ulikua hujui
Safi kabisa
Doh...Tunajishughulisha na kuvunja mawe kwenye huo mlima. Wamama kwa vijana
Walishasema tangu muda...Naona wataalamu wanadai hii washawasha, "CHLOROQUINE" inatibu Corona Virus. Ngoja tusubiri tuone.
Kuna andaeitini wengi tu humu hawajui majani ya karangaView attachment 1393328
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisema bibi yako yuko Mwakaleli eeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu Zoë
Usimlinganishe zuu na vitu vya ajabu.
Ana undugu na max huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio maana hii corona kwetu sisi weusi inadunda tu. Tulishazifakamia sana hizi dawa za Malaria. Za kila sampuli yaani. 😀
Nitoe Mimi hapoKwahiyo unatuona sisi watoto wenzio eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ndio maana hii corona kwetu sisi weusi inadunda tu. Tulishazifakamia sana hizi dawa za Malaria. Za kila sampuli yaani. [emoji3]
Mi binafsi nilidhani Karma ni me mwenzangu[emoji23][emoji23]
Unadhani anakujua Basi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kyela siyo Mwakaleli