Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa kwani hao nao wameanza kubadilisha juzi au jana ?? Nao si walianza kubadilisha mapema sana wakiwa bado wageni kama mimi tu unafikiri sijui eti !!
Wamedumu muda mrefu
Wewe mwaka Jana tu,hata mwaka huna unataka max akubadilishie utadhani una undugu naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimecheka sana aisee hasa huyo wa mbao za mawe, viatu vya samaki, roboti la matope [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Huyu atakuwa na ishuzi aisee...

Mondray bado mdogo ila nadhani ni wale watu wenye akili sana ambao fikra zao hazitulii kila wakati wanawaza hili na lile. Fikra hizi zimefika mpaka kwenye id....

Na mimi nataka kubadili id sasa wewe na Saint Anne nichagulieni nzuri. Hata kama ni ya Kinyakyusa sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Karibu kijijini huku nikupeleke shamba.
Ule mkono wa gym usikae kizembe..nikikupeleka ukavuna angalau hekari moja ya karanga utakuwa umeutendea haki mkono wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜€

Asante sana Anne, nitakaribia tukavune Karanga
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Naona umeamka vizuri...

Eti eat more bloody grass....kha !!!

Korona vipi huko Chuga? Uko poa na jirani yako Mkokaa?
Eat more bloody grass bro πŸ’š

Kwa kweli me huyo corona hata sielewi, I only take caution.
Ofisini nikiangalia tu mbele yangu nakutana na Corona Banner "Ways to prevent covid 19 virus nabaki kucheka tu hihihiii πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mkokaa eti jirani haujambo?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaa kumbe ya muda mrefu hivyo halafu hata mie kuna kipindi ilikuwa kila nikiingia kwa gallery yangu lazima niiangalie, usijali bado ninayo nitakutumia.
Imeshatimiza mwaka...nilijirecord kipindi nyimbo inatrend πŸ˜…
2019 snap iliniharibu halafu nilikuwaga natumia IPhone, bora sahii nimeacha maana nimerudi Tecno na tecno ukijisnap maneno yanapishana. Basi nikifikiria tu nakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…