Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kwahiyo kukiwa na matajiri wengi Wakinga hapo Mbeya ndiyo, tuseme wenyeji wa asili hapo ni Wakinga?
Kama upo hapo kijijini si utapika mwenyewe vile unavyotaka, kwani watakulazimisha ule samaki wasio na viungo.
Vinginevyo mto Songwe na mito mingine kuna samaki wa kila aina pamoja na wenye magamba.
Ukifika kwenu usijipe unyonge, jitahidi kujichanganya, maana kila mtu ana kwao
Twende zetu huko tukavuke border[emoji23]
Ila nawe umetisha, kwenye kipindi kisicho fikia hata mwaka mmoja hapa jf tayari umebadirisha I'd mara tatu!!
Huoni tatizo hapo
Hahah! Kama nilivyokuambia bro hataki tabu na ipo siku atakuwekea adi vidude vya chini kama vipo
Asili yangu Sio tukuyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe unataka asili?Asili yangu Ni ileje ndanindani huko undalini
Mbona unanicheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ufike kwa watu uwapangie namna ya kupika???
Mbona nilishakwambia siwezi sitaki kuogelea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara 5 Kama si sita.
Kama picha aliyoniwekea DavetNimecheka sababu gauni nililowaza mimi ni refu hadi chini halafu la kuchanua ndiyo mtu avae na raba uwiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie naona zinapendeza na gauni fupi halafu liwe penseli
Nauliza tu, hivi unaweza kuvaa raba na gauni?
Uje nikufundishe, hakuna maji yananishinda.
Naogelea, Ziwani, Mto na kadhalika Bahari.
Lakini mahali kwenye Mamba nakuwa muoga
Sent using Jamii Forums mobile app