moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi kijerumani sikijui[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee unaweza kuogelea kwenye bahari, mie ile chumvi hapana kwa kweli. Kama maji ya swimming pool tu yakiniingia puani nahisi kuchanganyikiwa sembuse yale ya bahari uwiiiiii [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo uliyoweka wewe ni ya lugha gani ??
Hahah! Kama nilivyokuambia bro hataki tabu na ipo siku atakuwekea adi vidude vya chini kama vipo
Hapana inajulikana kuwa wenyeji wa Mbeya mjini ni wasafwa, ila nilichokuwa nasema hapo ni kuwa wasafwa wenyewe hawakai kwao. Wengi wamekimbilia milimani huko na shughuli yao kubwa ni kilimo kisicho cha biashara, hivyo kupelekea wengi wao kutofanikiwa sana kiuchumi.
Hakuna aliyesema wakinga ndiyo wenyeji wa Mbeya mjini, Anne alisema Mbeya mjini matajiri wengi ni wakinga. Ni sawa na kusema Dar matajiri wengi ni wanyakyusa au wahaya, hiyo haiwafanyi hao kuwa wenyeji wa Dar na haibadilishi ukweli kuwa wenyeji wa Dar ni wazaramo na wandengereko.
Bora wewe tangu jana, mimi nina kama wiki 2 sipati notification yoyote kwenye app.....Nimejaribu kuipakua upya lakini shida iko pale paleJamani nyie mwenzenu tangu jana sipati notifications kwenye app yangu wala siwezi kuview threads na posts zangu kupitia profile yangu, na nyie wenzangu mna tatizo kama hilo au ni mimi tu.
😂😂
[emoji38][emoji38][emoji38] sasa Bwana Moud, katika harakati za kuogelea pale maji huwa yanaingia mdomoni au puani.....Au ni kwa sisi waoga pekee[emoji12]Chumvi kwani umeambiwa uyanywe?
Marianah..Adrianna..karma..moanna..zoë [emoji3][emoji3][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Sasa hata hivyo viungo vyenyewe unadhani vinapatikana kirahisi basi, yeah samaki aliye na magamba haijalishi ni wa maji chumvi au maji baridi huwa nakula ila wasio na magamba yaani daah hapana kwa kweli.
Hata ziwa nyasa lina samaki wengi mno, wenyewe wanakuambia kuna maelfu ya species za samaki na ndiyo ziwa linaloongoza kuwa na samaki wa aina nyingi tanzania nzima basi tu wengine hawaliwi.
Miye kwangu picha hazionekani kwenye app. Sijui kama tatizo ni hii TECNO ama nini. Nimefanya kila ujanja hakuna kitu mpaka imebidi nitumie tapatalk yenyewe...Jamani nyie mwenzenu tangu jana sipati notifications kwenye app yangu wala siwezi kuview threads na posts zangu kupitia profile yangu, na nyie wenzangu mna tatizo kama hilo au ni mimi tu.
Mimi nimeshazoea sasaJamani nyie mwenzenu tangu jana sipati notifications kwenye app yangu wala siwezi kuview threads na posts zangu kupitia profile yangu, na nyie wenzangu mna tatizo kama hilo au ni mimi tu.
Ukiwa na mamiguu (ya bia) haijalishi [emoji16][emoji16][emoji16]Nimecheka sababu gauni nililowaza mimi ni refu hadi chini halafu la kuchanua ndiyo mtu avae na raba uwiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie naona zinapendeza na gauni fupi halafu liwe penseli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie wala sioni tatizo ujue
[emoji3][emoji3][emoji3] nasubiri hadi Dec atakuwa amevunja record[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hapo hajamaliza hata mwaka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeruka Edelyne [emoji16][emoji16][emoji16]Marianah..Adrianna..karma..moanna..zoë [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa, na bibi yangu ukimpikia samaki au nyama nyingine yoyote na viungo hali.