Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wasp injector knife" kinatajwa kama mojawapo ya kisu hatari, ukichomwa na kuminya kitufe kilichopo juu ya kisu hicho hutoa gesi ya Co2 (hii huwekwa katika mshikio wake) na kutengeneza tufe mfano wa mpira wa Basketball' kisha hulipuka mfano kama bomu.
 
Namna unavyopenda kula kwa haraka zaidi, uwezekano wa kuongezeka uzito huwa mkubwa pia sababu kula haraka husababisha kula chakula kingi kuliko uhitaji wa mwili wako ubongo unashindwa kutambua kwa haraka kiasi cha chakula ulichokula (Unauchanganya ubongo)
 
Apple inasemekana wana kitengo cha siri cha usalama kwaajili ya kuwachunguza wafanyakazi kuhakikisha hakuna anaevujisha siri ya kampuni. Na hiyo ni mojawapo ya sababu ya kuwa na nafasi kubwa kuchaguliwa Chuo Kikuu Cha Havard' kuliko kuajiriwa na Apple'
 
Apple' wana sehemu maalum kwaajili ya kufanyia majaribio ya vifaa vyake (Prosesa, Chips n.k) kwa kuviweka katika hali ngumu mfano huviweka katika mazingira tofauti ya joto kuanzia -40Β° mpaka 110 Β° sentigredi. Lengo kuangalia uimara, kama vikishindwa kuhimili katika sehemu hiyo maalum ya majaribio hawavitumii katika vifaa vyao kama simu, kompyuta n.k
 
Netflix sio chaneli ya Tv



Bitcoin haina fedha yoyote halisia (Pesa ya kidigitali) Lakini ndiyo makampuni kwa wastani kwa kila sekunde 1 yanaingiza kwa ujumla Tsh milioni 10+.


Tumia vizuri fursa ya uwepo mtandao'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…