Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna samaki mwenye sumu mtoni wala ziwani.
Kama yupo nitajie.
Ila ninavyojua watu waliozungukwa na maji matamu wanajifanyaga kuchagua chagua samaki.
Kama ulivyo wewe, maana hutaki kula kitoga, mkunga, kambare, ngogo, sulusulu, lumbilumbi eti kwa kuwa hawana magamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] moud bhana sasa kwani wa ziwani wote ndiyo salama hawako wenye sumu au walio hatari ??
 
Kambare ni samaki au nyoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…