myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
This sh*t is doing serious stuff in Italy
Inasikitisha sana na hali yao ni mbaya zaidi sijui nini shida?
Mimi kwa watu huwa sijisumbui kupika.
Utapika hivi kumbe wenzio wanapika vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yatakuwepo around careful vaa mask yashindwe kurudAsubuhi niliamka na mafua ila sahivi hata sijui yameenda wapi
Salama mpendwa,nimefurahi kukuona
Unifundishe?
Ili niende kufa kama yule mzungu zenji au yule mtangazaji Nani jina sijui
Wallah utanishawishi vitu vyote nikakubali ila sio kunipeleka kwenye maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atapendeza tu.
Mbona wabibi huku mwakaleli wanavaa raba na vitenge..mtoko kabisa huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chimbo bro, ndio maana mtandao hausomi poaWapi hiyo sasa, eneo la mauzo au chimbo?
Majanga ya kujitafutia sitaki kabisaWe kaoga sana, mie kwa kweli hata nikitaka kujua kuogelea siwezi kujifunzia kwenye maji ya bahari na hata ingenibidi kujifunzia huko nisingekubali kufundishwa na mtu nisiyemjua.
Dada yangu aliwahi kuniambia "mdogo wangu maji yamemeza watu wengi sana kuliko ardhi ilivyomeza"
Vyema..Mimi pia nimefurahi kukuona mpendwa wangu.Salama mpendwa,nimefurahi kukuona
Acha uogaWe kaoga sana, mie kwa kweli hata nikitaka kujua kuogelea siwezi kujifunzia kwenye maji ya bahari na hata ingenibidi kujifunzia huko nisingekubali kufundishwa na mtu nisiyemjua.
Dada yangu aliwahi kuniambia "mdogo wangu maji yamemeza watu wengi sana kuliko ardhi ilivyomeza"