moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Naona hicho ndicho ulitaka kusikia kutoka kwangu
Maana uliwakazania wasafwa Hadi ukakasirika tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna vitu nitakufa sijakula.
Kuku mwenyewe nikimuona kabla ya kuchinjwa siwezi kumla.
Kuna Wamama ni majasiri wanachinja kuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishawahi kufika sehemu Mimi huyo nikapitiliza jikoni kupika..
Kumbe hata wenyewe hawapiki style ile
Shemeji yangu yule msukuma ana masharti kibao..mimi kichwakichwa nikaenda kupika
Tangu hapo sijarudia Tena tabia ya kupika kwa watu.
Kwani kuokoka ni lazima kuwe na makanisa?
View attachment 1394023
Pweza ana harufu kali ile nadhani haitoki hata usafishe vipiHawana harufu labda ulikutana na walioandaliwa vibaya.
Jaribu hautaacha tena kukosa utam wa samaki hao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nachinjaKuna vitu nitakufa sijakula.
Kuku mwenyewe nikimuona kabla ya kuchinjwa siwezi kumla.
Kuna Wamama ni majasiri wanachinja kuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Unifundishe?
Ili niende kufa kama yule mzungu zenji au yule mtangazaji Nani jina sijui
Wallah utanishawishi vitu vyote nikakubali ila sio kunipeleka kwenye maji.
😁😁😁😁Kwamba uwongo au?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwamba???[emoji23][emoji23][emoji23]Khaa hivi utapafananisha Ileje na Kyela we mtoto ?? Hata maeneo tunayotokea tu hayalingani !! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wenye kazi zao