Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huwa naenda, vijiji vyetu vya asili vipo kwenye mikoa miwili tofauti ambayo ni jirani.
Mila, tabia na desturi zinafanana.
Ila mi kwa wale mabibi ambao nimewazoea sinaga shida, nawapa ukweli tu.
Mama mdogo anaishi Moro, nikifika mwenyewe mziki wangu anaujua, kwa hiyo masuala ya mapishi anamuachia dadangu.
Nyie kaeni hivyo hivyo na uoga wenu [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Yeye hata Kijijini kutembelea ndugu hajawahi kwenda
 
Mpendwa unaniangusha.
Unamjua mkunga, pweza, ngisi, chaza, kasa, kaa, tasi, taa nk.
Samaki hawana shida.
Nikwamba ukiweza unakula, kama huwezi unawaachia wengine.
Ila nijuavyo unaweza acha kula hiki ukaenda kula kitu ambacho ni kibaya zaidi ila utakisifia pia
Uso wake unatisha mno nashangaa wanaokula nilidhani ni jamii ya nyoka ukimuangalia anafanana huwa najiuliza pia watu wanawezaje kula pweza, kamba aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana nini mbona unaanza kuwasema vibaya?
Mi nawapenda Wandali kwakuwa Mh Steven Kibona aliyekuwa mbunge wao, alitendea haki Wizara ya Fedha.
Alifanya mageuzi makubwa ya uchumi wa Tanzania uliokuwa umevurugwa na wakomonist wa nchi hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wandali si kawaida yenu, bora hata tulivyotenganishwa na ninyi maana mlikuwa mnatuaibisha watu wa Mbeya.
 
SIKU kadhaa zimepita huku kukiwa hakuna taarifa yeyote juu ya lini Ligi Kuu England itakuwa inaanza, hii imesababisha baadhi ya wachezaji kukaa majumbani kwao na kujifanyia mazoezi ya kujiweka tayari iwapo ligi hiyo itakuwa imeanza tena kutimua vumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…