Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwani kuokoka ni lazima kuwe na makanisa?
View attachment 1394023
Epl nayo hadi mei... utakosa habari kipindi hikiWAZIRI wa Michezo wa Italia, Vincenzo Spadafora amesogeza mbele tarehe ya kuendelea kwa Ligi Kuu Italia, Serie A, kutoka Aprili 3, hadi Mei 3, mwaka huu na kusisitiza bado hawajaamua kama mechi hizo zitachezwa bila ya mashabiki au la.
Ndo maana huwa nawaletea utafiti konkiii kila dayEpl nayo hadi mei... utakosa habari kipindi hiki
Mmhh mie mwenyewe hadi leo kuchinja kuku nimeshashindwa kwa kweli
Anasema sisi washamba huku wao ndio vinara wakishirikiana na wenzao wasukuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi nzuri.... ila kuna tafiti ya missionary style ulisema picha ipo chini lakini hatukuionaNdo maana huwa nawaletea utafiti konkiii kila day