Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Sasa je,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
9t 9t
Redi hendedi....
View attachment 1394301
Hivi wakikuyu wana nini ?? Mie nawapenda !!
Hapana sisi siyo kama ndugu zetu wa kule Kaskazini aise
Hivi umeshawahi kuionja?
Chunya ya Makongolosi imesonga mbele kwakuwa wana dhahabu, chunya ya Songwe wanategemea kilimo cha mahindi
Kaka sina kitu namtania DavetHawachi umeanza lini kuchinja ?
Kwani mpendwa una nini leo?
Wewe ili niamini kama kweli ni wa kitaa cha uswahilini siku utakayokula kambare, mkunga, pweza, ngisi, chaza, kaa, kasa, kamba, na wadudu wengine wa baharini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi tufunge huo mjadala
Umeona uingizie na kitimoto Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyakyusa kwenye ubora wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu vwawa pia pamepooza sana yaani hapaendani na kuwa makao makuu ya mkoa