D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee panado sipendiili niende hospitali niwe nimezidiwa.
panadol ziwe hazifanyi kazi mwilini mwangu.
tumbo la kuharisha = tiba yake ni karafuu na juisi yenye gesi nyingi
homa = panadol mbili kila baada ya muda
mafua = kuna dawa fulani sijui hata zinaitwaje (nimenunua tena juzi)
hayo ndio magonjwa yangu ya mara kwa mara.
hospitali nahisi kama naibiwa pesa.
siku hizi daktari ukimuona anataka pesa utadhani mwanamke kahaba
panadol natembea nazo mara kwa mara kuliko pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee panado sipendi
Mafua kama kawaida kwangu yamepageuza home sweet home ila saiv yamesimama kwa muda
😂 😂 ngoja nisubiri na wenzangu[emoji23][emoji23][emoji23] sababu ni team usipitweee
Kwema kabisaKwema carba, habar ya uzima?
#ulichotumiajana
#usirudietena
Bora sembe huo urojo ukijamba sijui watu watakua kwenye hali gani 🏃🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️wewe unaweza kuacha kula sembe?
munapokuwa kwenye pumziko huwa hamutembelei tovuti nyenginezo?
fb
insta
tovuti za habari
n.k
ndio raha ya urojo harufu yake ya ushuzi inajulikana (mchanganyiko wa recipe mbali mbali)Bora sembe huo urojo ukijamba sijui watu watakua kwenye hali gani 🏃🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
hawana majibu ya msingi.Sijui tuwaulize ambao huwa wanapumzika na JF mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tusubirie waje carbamazepine Khantwe The Happiness Davet nani mwingine anaependa series Zoë au Depal
Kuna series ya heroes niliipenda ila niliishia sijui ni episode au ni i ya tatu au nne kwa njia ya CD
Mwendo wa kimya kimya tu full kufaidia aaah pasaka ifike tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Zitakupaje stress na mzee baba mwenyewe anakwambia corona ni ugonjwa wa kishetani??epl acha waendelee kusimama.........
kinachowakuta wataliano ni hatari.
watu 700 wanakufa siku moja bila hata ya kupigwa risasi.
shikamoo mafua ya kichina.
mimi huku habari za watu 12 kuwa na corona wala hazijanipa stress
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tusubirie waje carbamazepine Khantwe The Happiness Davet nani mwingine anaependa series Zoë au Depal
Kuna series ya heroes niliipenda ila niliishia sijui ni episode au ni i ya tatu au nne kwa njia ya CD
tembea na spikaTatizo napenda kuangalia movie on a big screen sijui itakuwaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema kingine numby, tayari nshaisevu hyoo[emoji2088]
😀😀ndio raha ya urojo harufu yake ya ushuzi inajulikana (mchanganyiko wa recipe mbali mbali)
harufu ya ushuzi wa maharage unajulikana.
sembe mhhhhhhhhhhhhhhhh
hivi ukila sembe unajamba?
huo ushuzi utokee wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna siku nilipatwa na tumbo la kuharisha mara kwa mara (kipindi hicho zenji kuna kipindu pindu miaka takribani miwili iliopita)
nilipiga kelele kuliko mpiga chabo anapokamatwa....
mama weeeeeeeeeee nakufaaaaaaaa.
presha ilipanda ghafla.
ukitoka nje unaambiwa leo watu 10 wamepelekwa hospitali ya kipindu pindu.
leo watu wawili wamekufa kwa kipindupindu.
presha ikazidi kupanda
nilitafuta chupa la maji nikachangaya na ORS (oral rehydration salt), karafuu, chumvi ya madonge, chumvi ya uchawini, mdalasini, hiliki, pilipili manga, soda za bakhressa
utadhani nilikuwa najiandaa kupika biryani masala.