Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mashtaka mapya baada ya kula kipondo au ni ya zamani?
Asante sana shemeji. mfilisti hata akwame huko Tanga kwa jimama lake miaka na miaka yu wili neva woki aloni ezi longi ezi niko hai. Akija kurudi atakuta katoto kake kamekua.Habari Kamili.
mfilisti katelekeza mke...
Kaka mtu SHIMBA YA BUYENZE ndio kakabidhiwa mpaka hapo mfilisti atakapo rudi.
#hainagaushemeji#
Inasemekana kakwama Tanga kwa jimama jeupe tinginya. Halafu katelekeza mke tena pregnant. Anahitaji maombi ....Nakosa jibu.
SHIMBA YA BUYENZE anaweza kunijibia kwa niaba.
Asante sana shemeji. mfilisti hata akwame huko Tanga kwa jimama lake miaka na miaka yu wili neva woki aloni ezi longi ezi niko hai. Akija kurudi atakuta katoto kake kamekua.
#Vyakuibavitamu
#EndeleaKunipa
View attachment 1397069
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nilishawahi kulaumiwa eti kwa vile ni last born kisa nimemkataza drama zisizo na kichwa na miguu [emoji16][emoji16][emoji16]
Siko Dubai nipo vingungutidubai imekubadilisha...
upo vingunguti kwani umeajiriwa kazi ya kuchinja ng'ombe?Siko Dubai nipo vingunguti
Mpendwa ndio kazi yangu hii karibu.upo vingunguti kwani umeajiriwa kazi ya kuchinja ng'ombe?
😂😂😂😂 noma sana mzee
Sina wasiwasi shemeji. Wewe lea hiyo mimba ya braza mfilisti kwa uangalifu. Mimi nipo na kudeka utadeka kwa kadri unavyopenda...[emoji16][emoji16][emoji16]Sio kavulana bwana....
SHIMBA YA BUYENZE amka...kumeshakucha
Kakika tunapatana vyema kwenye moja na mbili 😀Naona tunakimbiza moja na mbili
Hahah!Comment ya mla urojo kuhusu huyo jamaa
Mwanaume mzima utakulaje appetizer peke yake bila main course? Yaani nile wali ndiyo nilale? Thubutuuu!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo namba 2 nimejionea kwa macho yangu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanasema ukila wali lazima ushushie na ugali, ati wakila wali hawashibi[emoji23][emoji23]
wasukuma wanatishaaa
Watu wakishajua wewe ni mziwanda basi kila kitu ukifanya utasikia "lastborn"Nilishawahi kulaumiwa eti kwa vile ni last born kisa nimemkataza drama zisizo na kichwa na miguu [emoji16][emoji16][emoji16]