Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hakuna aisee, hakuna kesi yoyote ile ya koronaSafii... kuna kesi ngapi za korona huko?
R u shua?Hakuna aisee, hakuna kesi yoyote ile ya korona
Mwaka 2004 Lisa Sparxx aliweka rekodi ya kufanya Mapenzi na Wanaume wengi zaidi. Alifanya mapenzi na Wanaume '919' kwa masaa 24.
Ndio mkuuR u shua?
😀😀😀 eeh vitu vipo kiartificial zaidi😁 Man made
Kama utalazimisha kuacha macho wazi unapotaka kupiga Chafya, Jicho linaweza kutoka Nje
Eeh! Kama kawaida tunaendelea kuwakilisha tu mzeeHahah
Niko poa sana mzee, nakuona harakat kama kawaida
Nione na mimi jamani tusafishe macho sio kila siku picha za korona na kesi zake tuuHii kesi utaimaliza mwenyewe[emoji2]
Uone nini NaddyNione na mimi jamani tusafishe macho sio kila siku picha za korona na kesi zake tuu
Eeh! Kama kawaida tunaendelea kuwakilisha tu mzee
Shauri yako korona itasafisha kabla hatujaona vitu vizuri ohoooo...Uone nini Naddy
Hakika 👊🏼Kikubwa uzima bro
Duuh nimejikuta nimemuwazia tu kule chini sijui kulikuwaje mwanamke mwenzangu huyu