Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Nyangeta??????Majina ya kibantu ni yapi? Ushawahi kusikia jini anaitwa Nyangeta, bhoke au mwinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio nimeshasikia ila si majina kama hayo (bhoke, mwinga)Majina ya kibantu ni yapi? Ushawahi kusikia jini anaitwa Nyangeta, bhoke au mwinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuta alikuwa na ugonjwa wa moyo japo alikuwa hajui. Na akawa amekamia sana labda kwa kujipigilia mi red bulls na pombe kali ili atoe show ya kibabe kwa binti huyu aliyemnunua kumbe moyo ukaelemewa...[emoji23][emoji23][emoji23] dunia ina mambo
Mwajuma, Zainabu, Khamis?ndio nimeshasikia ila si majina kama hayo (bhoke, mwinga)
ubantu wa pwani ndio nimeukusudia zaidi......
Marehemu aliipiga kwa kuiisikilizia, daah. Samahani kwa lugha chafu, ila inasikitisha.huyo mwanamke itakuwa alijipaka asali, jam, mayonnaise na maziwa ya cow bell mwili mzima ndio maana alikuwa sweet to mr marehemu.
Umepiga mulemule, wewe ni poti?
Hivi kumbe watu wa pwani wana tamaduni za kibantundio nimeshasikia ila si majina kama hayo (bhoke, mwinga)
ubantu wa pwani ndio nimeukusudia zaidi......
wapo wengine wana majina ya kiarabuMwajuma, Zainabu, Khamis?
ngoja kwanza nisome mchezo....
Hahaha jibu swalingoja kwanza nisome mchezo....
wewe ni mwana historia au mwalimu wa kiswahili?
teh teh apumzike peponi marehemu.......Marehemu aliipiga kwa kuiisikilizia, daah. Samahani kwa lugha chafu, ila inasikitisha.
Kama hujui maana yake basi wewe siyo poti. 😁
wapo wenye asili hizo...... wapo wazanzibar wenye asili ya congo, malawi (ukoo wa karume kwa inavyosemekana)
Hahaha sawa, ila hilo jina nililipata kwa binti mmoja sijui msukuma yule mtoto? Alikuwa mzuri balaa, ana kasura fulani hivi karefu, alikuwa mwembamba ila ana shepu matata, mpoleee yaani nilikuwa nampenda sana japo sikuwa na mazoea nae sana nilikuwa tu namuona kanisani. Amesababisha hadi nalipenda hilo jina yaniKama hujui maana yake basi wewe siyo poti. [emoji16]