Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna ugonjwa fulani ambao ukiugua unashindwa kulala kabisa kwa siku kadhaa kisha unakufa, hauna dawa.Ukiwa wa kurithi unaitwa Familial Fatal Insomnia (FFI) na ukiwa bila kurithi unaitwa Sporadic Fatal Insomnia (SFI).
 
Korodani kwa mwanaume zipo nje kwa sababu hazihitaji joto la mwili kwa kiasi kikubwa kufanya uzalishaji wa mbegu. Hivyo, Uvaaji kwa kiasi kikubwa wa nguo za kubana kwa Mwanaume unaweza kupatwa na "Ugumba" hasa kwa wanaoishi Sehemu zenye Joto. (Acha Wazee Wapumue 😑)
 
Kuna zaidi ya viungo na vitu 50 ndani ya mwili wa mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume ambapo viungo hivi hufanya kazi zingine za mwili. Unapopungukiwa nguvu za kiume ina maana ndani ya mwili wako kuna baadhi ya vitu havifanyi kazi vizuri ipasavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…