Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lorath, sehemu anayotokea Jaqen H'ghar wa Game of Thrones, lugha yake haina viwakilishi(pronouns). Mfano; mimi, wewe, wao. Ndiyo maana Jaqen H'ghar alikuwa anasema "A man has the honor to be Jaqen H'ghar" badala ya "I am Jaqen H'ghar"
Chanzo:A Clash of Kings (ASOIAF ~ GRRM)
 
Wolverine kwa namna alivyoelezewa katika Jarida la Comic inatakiwa awe na Urefu wa Futi 5. Lakini Hugh Jackman ana Urefu wa Futi 6, Hivyo walichofanya katika Filamu zote ni kufanya Ujanja kadhaa katika kuchukua Shots ili kumfanya aonekane mfupi wa Futi 5.
 
Licha ya kuwa sayari ya Mercury ipo karibu na Jua, Venus ambayo ni ya pili kuwa karibu na jua Ndio yenye Joto zaidi kuzidi Sayari zote katika mfumo wetu wa Jua. Sababu ni Venus Anga Lake Lina Hewa Nyingi Ya Carbon Dioxide Ambayo Hutunza Joto. Joto hufikia Centigrade 465.
 
Wanagombea maslahi, hata hivyo Yanga baada kuhisi harufu ya kumpoteza fundi wao wanapanga mikakati ya kifedha kuzuia mbinu za Simba.
Nadhani mwenye kisu kikali atakula nyama

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikia issue zao mpaka wanataka kumpoteza GSM, yani Yanga wanatia aibu na njaa zao sio siri wanahitaji kufanya mabadiliko katika mfumo wao wa kuendesha ile timu......

Tshishimbi mwenyewe alishaonyesha mapenzi yake ya wazi kutaka kukipiga pale Msimbazi na usajili wake ukifanikiwa basi Mkude ajipange
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ushajaribu hiyo[emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Vipi kwema lakini huko AR

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa dentist hiyo kibongo bongo unaambiwa fanya Haaaa

Huku tuko Poa ila jirani yangu Mkokaa ana kohoa tangu jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…