Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mwaka 2015 wanasayansi waligundua kuwa meno ya konokono inawezekana ndiyo kitu kigumu zaidi cha asili duniani.
Je, Ulijua hili? Konokono anaweza kuwa na meno 14000!
Chanzo:CBS News
[emoji23][emoji23][emoji23] daah hadi weweeeNumbisa hizi tafiti nyingine tunatakiwa nasi tujiridhishe hasa kwa hizi zilizokaa ki wepesi.
Nitamtafuata konokono nimtumbue nione ukweli wa meno yake[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Ata mapachaKama ilivyo kwa alama za vidole, alama za ulimi hazifanani kwa watu wote.
Chanzo:NCBI & ScienceABC
May be [emoji23][emoji23][emoji23]
πππππ kwa dentist hiyo kibongo bongo unaambiwa fanya Haaaa
Huku tuko Poa ila jirani yangu Mkokaa ana kohoa tangu jana
Za kike labda kwny bibo [emoji23][emoji23]Vipi kuhusu nguvu za kike?