Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nahic mshahara ulikua haumtoshi akaamua kua mbunifuAndre Stander, askari wa zamani wa Afrika Kusini alikuwa anavamia benki na kuiba pesa mara kwa mara kisha baadaye anarudi kwenye tukio kama askari upelelezi.
Chanzo:Wikipedia
Namba 6 ni wewe Khantwe..Ni wewe
Nimesikia issue zao mpaka wanataka kumpoteza GSM, yani Yanga wanatia aibu na njaa zao sio siri wanahitaji kufanya mabadiliko katika mfumo wao wa kuendesha ile timu......
Tshishimbi mwenyewe alishaonyesha mapenzi yake ya wazi kutaka kukipiga pale Msimbazi na usajili wake ukifanikiwa basi Mkude ajipange
Acha aendelee kutuburudisha hapa jukwani broHuyu jamaa ni komidiani mzuri sana basi tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wacha tuone itavyokua
The OathAndre Stander, askari wa zamani wa Afrika Kusini alikuwa anavamia benki na kuiba pesa mara kwa mara kisha baadaye anarudi kwenye tukio kama askari upelelezi.
Chanzo:Wikipedia
[emoji23][emoji23][emoji23] daah hadi weweee
[emoji23][emoji23][emoji23] furaha kama yoteee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hio kazi wameshafanya watafit banaHahahaha, [emoji1787][emoji1787]kwani kumshika konokono kuna shida?
Shida ni kile kinyaa cha jinsi alivyo.
Ila naogelea konokono kwa maana konokono[emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app