Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Mkuu vipi mishe?Ukilikubali wataacha kulitumia
😀😀😀😀
Mkuu vipi mishe?
Lake ilo asikupe tabuUkilikubali wataacha kulitumia
Leo nimekumbuka kipindi flani ulikuwa unaweka picha zako huku
Hey Babe,
Lake ilo asikupe tabu
Sio poa mzee japo haitupati sana lakini imeweka wakina VVD katika kila mfereji wa mambo yetuNoma mkuu, corona imenishika kila kona.
Huu uzi una picha zangu nyingi sanaLeo nimekumbuka kipindi flani ulikuwa unaweka picha zako huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yy ambae Co mgonjwa ndo ana ruhus ya kuingia ndan
Hawaelewi Hawa.Okay.
Ila si ninyi ni familia moja ya Likes! Elewaneni tu.
Mimi nitoe kabisa hapo Kwenye list ya hao watoto.
Bado moja nakudai[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aya baki nazo tu ila usiuze siri za kambi
Sio poa mzee japo haitupati sana lakini imeweka wakina VVD katika kila mfereji wa mambo yetu