Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,233
Mambo yanizungumziayo hua hayanipiti..Ewaaaa ndiyo maana nikawa najiuliza mbona kama kuna moja nimeisahau ila ikawa imenitoka, nikatamani nije kukuuliza ila nikakumbuka tulikuwa tunakuteta hivyo hukutakiwa kujua. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Ila cha ajabu umejua aise mdogo wangu na we mfukunyuku, yaani sitaki kuamini kuwa hili halijakupita. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona eeh.
Ndururu si chururu.
Look who is talking hereMambo yanizungumziayo hua hayanipiti..
Ngoja nimrudishe Da'Vinci basi..
Ila ww ni sikio la kufa husikii
JNIA sio JKIA.[emoji85]Ni JNIA we mtoto usituharibie jina, labda kama umemaanisha Jomo Kenyatta International Airport ya Kenya.
Karma ndio pigo zako hizi Nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mrembo wa Kinyakyusa baada kuambiwa avae vikukuView attachment 1399988
May be merely on our handNumbisa hiyo stori ya watumwa na habari za watumwa hua zinaniacha na swali langu la muda mrefu ambalo silipatii majibu..
"Does our life depends on destiny/fate or It's merely on our hand????
Hua natafakari sipati jibu maana najikuta natoa blasphemies
Aisee.. wala sina sababu ya msingi ila nikiona jina limenikaa fresh nabadilisha tu.Umevunja rekodi mkuu. Sababu hasa ya kubadili badili hivi ni nini?
Vipi ulivimbiwa juzi na pilau Nini[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23].Amen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stella banaVipi ulivimbiwa juzi na pilau Nini[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23].
Pole binti mpole
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakua unakana moja ya sifa kuu za uweza wa Mungu. Awezaye Yote.May be merely on our hand
Umenikumbusha ule wimbo Dada Anaolewa wa Young D [emoji1787][emoji1787][emoji1787]