moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji3][emoji3] hajambo
Aisee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah mkuu hii comment yako nayo imeingia kwenye list ya comments zilizowahi kunichekesha humu JF
Halafu mbona nafungua kuangalia thread zako na replies zako inagoma kufunguka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah mkuu hii comment yako nayo imeingia kwenye list ya comments zilizowahi kunichekesha humu JF
Ndio maana nilitaka tuumiliki maana hata nyumbani kwangu ulipita Novemba, ikawa ni mwendo wa tangawizi na mchai chai. Kwa mimi na shemeji yako kvant ilituponya maana tulichukulia ni mafua ya kawaida.Hizo dalili mkuu mi nilikutana nazo february 2019.
Mafua makali, kikohozi kikavu, homa kali.
Sikujua nilichokuwa naumwa.
Vipimo vya hospitali vilikuwa "error"
wewe ndiye huyo aliyevaa kanzu yenye rangi blue, aliyejaaliwa tumbo kubwa kama beseni la kufungulia nguo?Hapa ni makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni mapipa jijini Dsm
Mahali tulipompumzisha mwenzetu.
Mwanachama mwandamizi wa Simba sport club, Asha Muhaji, ambaye aliwahi kuwa msemaji wa klabu hiyo
Bwana Alitoa,Bwana ametwaaHapa ni makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni mapipa jijini Dsm
Mahali tulipompumzisha mwenzetu.
Mwanachama mwandamizi wa Simba sport club, Asha Muhaji, ambaye aliwahi kuwa msemaji wa klabu hiyoView attachment 1400085View attachment 1400087
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe ndiye huyo aliyevaa kanzu yenye rangi blue, aliyejaaliwa tumbo kubwa kama beseni la kufungulia nguo?
ila marehemu alikuwa ameshiba, mashaallah.
kiuno kama gari la mkaa